AICC

AICC

@AICCTZ

Followers141
Following29

A world-class Conference Centre in the heart of Africa.

Arusha / Dar-es-Salaam, Tanzania
Joined on April 10, 2012
@AICCTZ Statistics

We looked inside some of the tweets by @AICCTZ and found useful information for you.

Inside 100 Tweets

Time between tweets:
3 days
Average replies
0
Average retweets
1
Average likes
5
Tweets with photos
75 / 100
Tweets with videos
15 / 100
Tweets with links
5 / 100
Fun Fact

While the average religious leader can expect one retweet for every 500 followers, the average musician only sees one retweet for every 30,000 followers.

AICC
19 hours ago
39th Ordinary SADC  Summit of Heads of State and Government kicked off today at JNICC in Dar es Salaam
3

a day ago
Ready for the  official opening ceremony of 39th Ordinary SADC  Summit of Heads of State and Government at our state of the art Selous Hall at JNICC, Dar es Salaam

2 days ago
AICC
7 days ago
AICC
11 days ago
AICC
16 days ago
AICC officials at Nyakabindi grounds marketing and providing information to   various stakeholders among them Deputy Minister of Agriculture Hon. Hussein Bashe during the Nanenane Exhibitions in Simiyu Region

20 days ago
A visit from Chief Secretary, Amb.Eng.John Kijazi at JNICC earlier today supervising on going preparations for the 39th SADC Summit which is scheduled to start on 9th-18th August 2019

23 days ago
AICC
25 days ago
AICC
a month ago
AICC
a month ago

Mahojiano ya Mkurugenzi Mwendeshaji wa AICC ndugu Elishilia Kaaya kuhusiana na mkutano wa 39 wa SADC unaotarajiwa kufanyika kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam.

0
0
7
AICC
a month ago
Mkurugenzi Mwendeshaji wa Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Arusha (AICC), ndugu Elishilia Kaaya akielezea maandalizi ya mkutano wa SADC utakaofanyika mwezi Agosti kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Julius Nyerere (JNICC) kilichopo jijini Dar es Salaam.

Bado tupo kwenye maonesho ya Kibiashara ya Kimataifa viwanja vya Sabasaba mpaka tarehe 13 Julai tayari kukuhudumia na kukuelimisha juu ya kazi mbalimbali za Taasisi yetu. Karibuni mtutembelee ndani ya banda la Sabasaba.
2

Afisa Itifaki na Mahusiano ya Umma AICC Bi. Beatha Hyera akimkabidhi kabrasha lenye vipeperushi vinavyoeleza shughuli za AICC Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof.Palamagamba Kabudi wakati alipotembelea banda hilo kwenye maonesho ya 43 ya DITF

Tunaendelea kutoa huduma na elimu kuhusiana na shughuli mbalimbali zinazotolewa na AICC kwa wananchi wanaotembelea banda letu linalopatikana Sabasaba Hall, karibuni sana.

AICC yashiriki kikamilifu kwenye maonyesho ya 43 ya kimataifa ya biashara jijini Dar es Salaam, tunawakaribisha kwenye banda letu kujifunza na kufahamu huduma mbalimbali zinazotolewa na Taasisi Yetu.

2 months ago
Mkutano Wa uwasilishaji wa utekelezaji wa ilani ya CCM kwa mwaka wa fedha Julai 2018 - Juni 2019,AICC Simba Hall. Arusha.

Katika kilele cha maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma wafanyakazi wa AICC walijumuika kufanya usafi katika Hospitali ya AICC jijini Arusha huku wakiungwa mkono na wenzao kutoka NEMC na Arusha jiji

Next Page