Mirrupi Mseppa JR

Mirrupi Mseppa JR

@MseppaMirrupi

Followers7
Following79

Irrigation Technician. News Papers writer (an editor). A farmer. A political analyst. allanmseppa@gmail.com 0759454787 0742212111

Tanzania
Joined on June 14, 2018
@MseppaMirrupi Statistics

We looked inside some of the tweets by @MseppaMirrupi and found useful information for you.

Inside 100 Tweets

Time between tweets:
2 days
Average replies
0
Average retweets
0
Average likes
0
Tweets with photos
40 / 100
Tweets with videos
0 / 100
Tweets with links
0 / 100
Fun Fact

60% of U.S. smartphone owners now visit their favorite social networking sites on a daily basis, up from 54% in 2011.

Baadhi ya wabongo ni wabunifu sana kwenye masuala yasiyo na maana. Hivi ni nani mwenye ushahidi kuwa kauli ya Prof: Kabudi ya kutolewa shimoni/jalalani/kwenye takataka alimaanisha ni UDSM ? Hebu acheni uzushi, jadilini masuala ya msingi. #wahusika

0
0
0

Quoted @fatma_karume

Kila ukienda kwa rafiki yako ana mke mpya na anakwambia kamuacha wa zamani kwa sababu za tabia mbaya. Baada ya mke wa 6 utaelewa kwamba MUME ndio mwenye HITLAFU! 🤣🤣

Hitilafu ni kwa ajili ya vitu na siyo binadamu

0
0
0

Mh. @JMakamba nakupongeza sana Srkl hasa kupitia Ofisi yako ya marufuku ya utumiaji wa mifuko ya plastic. Lakini kuna changamoto moja, karibu kupitia vifungashio vya mikate, maji ya kunywa, ndoo za plastic, line za simu. Utaona bado vinatumia vifungashio vya plastic. ALAMSIKI !!

0
0
0
Restpicius Ernest Mugimba & I

Restpicius Ernest Mugimba & I

With my best friend Mkt mwenza

With my best friend Mkt mwenza

Picha in picha

Picha in picha

Aquilina & Mama Fidea

Aquilina & Mama Fidea

Serikali tunaomba mjadala wa wazi wa wananchi kuhusiana na kujitoa kwetu kwenye mkataba wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo unaotajwa usio tija kwa wananchi wa Tanzania. @TZMsemajiMkuu

0
0
0

Ila ndugu Zitto jaribu kuona sababu za Serikali kama zinamashiko, sababu kuwaachia wawekezaji wajipangie wenyewe tozo na gharama mbalimbali pamoja na kukataa wawekezaji wengine ni sawa na UKOLONI MAMBOLEO. Binafs nalipenda uwekezaji huu lakini kwa masharti haya natoa BIG NO https://twitter.com/zittokabwe/status/1127821579864375296 …

0
0
0

Quoted @Banda81534292

Hapana kufanya mazuri haimaanishi kwamba ccm haiwezi kutoka No kwa sabb everything change except change itself.

Sawa, ngoja tuone wananchi wataamua nini mwezi Oktoba

0
0
0

Quoted @Banda81534292

Tusishangae ccm na viongozi wake kukosolewa hii ni hulka ya binadamu kwa mtu anaewatumikia.Bila ccm na viongozi wake wangemkosoa nani?lakini ukweli ni kwamba ccm inafanya vizuri japo yapo mapungufu kwa kuwa ccm na viongozi wake siyo malaika.wanaccm lazima tukubali.

Nakuunga mkono

0
0
1

Quoted @Banda81534292

Lakini hata zuri lina mwisho,ndo maana hata watu wema hufa.

Kwa maana hiyo, ikiwa CCM inafanya mazuri mengi na tukakubali ianguke kwa sababu ya utaratibu wa kila chenye mwanzo kina mwisho. Basi yatupasa tukumbuke msemo wa wahenga wetu wa MKATAA PEMA PABAYA PANAMWITA

1
0
0

Quoted @IsmailJussa

Juma Duni Haji: Ili kazi ya kuiondosha CCM madarakani iwezekane kwa urahisi ni lazima kuwe na mshikamano mpana (grand coalition) wa vyama vyote vya siasa vya upinzani, asasi za kiraia, vyama vya wafanyakazi, wafanyabiashara, wakulima, wavuvi na wananchi kwa ujumla wake.

Juma Duni Haji: Ili kazi ya kuiondosha CCM madarakani iwezekane kwa urahisi ni lazima kuwe na mshikamano mpana (grand coalition) wa vyama vyote vya siasa vya upinzani, asasi za kiraia, vyama vya wafanyakazi, wafanyabiashara, wakulima, wavuvi na wananchi kwa ujumla wake.

Kama ili kuishinda CCM muungane na kila Kada na wananchi wote, kitu ambacho na wana CCM ni wananchi, nakuapieni haikuwezekana, haijawezekana na haitowezekana. Mtabaki kuwa vyama mbadala kama CCM itaendelea kuwatumikia wananchi kwa uzalendo uliotukuka. Salama yenu CCM ikikengeuka

Quoted @cw_pedro

Kwa kweli ungeniambia kumtaja mtu wa kwanza kumuweka mbali na Rais wetu ningekutajia Prof Palamagamba Aidan Mwaluko Kabudi. Mtu huyu kaaminiwa sana na Rais lakini anamdanganya. Kajipachika nafasi ya uwaziri kiongozi na yeye ndie AG sasa. Tumsaidie Rais aondokane na mtu huyu.

Amendanganya Rais kwa mambo yepi ? Acheni hizo jamani hebu tushirikiane kulijenga Taifa ambapo Ndugu Rais ameonesha nia ya kututoa hapa na kutupeleka pale

0
0
0
Next Page